Habari & Matukio

 • Ujenzi wa Majengo ya Upasuaji
  Ujenzi wa Majengo ya Upasuaji

  Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda inajenga majengo ya kisasa ya upasuaji kwa kila Kituo cha Afya Wilayani Bunda.

 • Ujenzi wa Maabara Bunda
  Ujenzi wa Maabara Bunda

  Katika kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu kujenga maabara 3 kwa kila shule ya sekondari ya kata, ujenzi…

 • Mradi mkubwa wa
  Mradi mkubwa wa "Huduma-Mtandao" waanzishwa Wilayani Bunda.

  Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limeiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kwa kushirikisha wadau wengine wa maendeleo kuanzisha mradi wa majaribio…

 • Ufugaji wa Samaki kwa njia ya Vizimba waanzishwa Bunda
  Ufugaji wa Samaki kwa njia ya Vizimba waanzishwa Bunda

  Katika kuhakikisha kuwa rasilimali za Ziwa Victoria zinalindwa ili ziwe na manufaa endelevu kwa jamii, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limeiwezesha…